ALIKO.

Askofu, Mchungaji, Mama, Baba na Kundi.

Tarehe 10 Mwezi wa 7 Mwaka wa 2022. Kanisa ya City View Swahili inakualika kuhudhuria Kwenye shere ya Kukunguliwa Kwa yo.

Address ni 8404 Phyllis Place, San Diego Ca, 92123,Chapel. Sherehe itakuwa na sa 9 muchana adi sa 11 Jioni.

Ujio Mwema. Uje na Ndugu Jama na Rafiki.

__

Sunday Service - Chapel | 10:00am
Wednesday Prayer Group - Multipurpose Room | 6:00pm